Write & Correct
Swahili

Andaa elezo ya nchi nyingine ya kiafrika

Gambia ni nchi ndogo kuliko yote katika bara la Afrika na ni nyembamba sana. Mpaka yake unafafanuliwa na mto wa Gambia. Nchi iko chini ya kilomita 48 kwa upana wake mkubwa. Mipaka ya sasa ya nchi ilifafanuliwa mnamo mwaka 1889 baada ya makubaliano kati ya Uingereza na Ufaransa. Mara nyingi inadaiwa na Wagambiani kuwa umbali wa mipaka kutoka mto wa Gambia unafanana na eneo ambalo kanuni ya silaha ya vitani ya Ungereza ya wakati huo iliweza kufikia kutoka kwa mto huo. Walakini, hakuna ushahidi wa kihistoria wa kuunga mkono hadithi hiyo. Isipokuwa ukanda wake wa pwani, ambapo Gambia inapakana na Bahari ya Atlantiki, ni inazingira kabisa kwa nchi la Senegal.

Gambia ina hali ya hewa ya joto na misimu tofauti wa kiangazi na wa mvua. Kuanzia Novemba hadi katikati ya Mei kuna hali ya hewa kavu isiyoingiliwa. Wakati wa siku hali ya hewa ni starehe na jotojoto huku usiku ni baridibaridi kidogo. Kuanzia Juni hadi Oktoba ni msimu wa mvua. Katika kipindi hiki, kipimo cha joto kinaweza kupanda hadi 43 ° C lakini kawaida huwa chini karibu na bahari. Wastani wa mvua ya kila mwaka ni kati ya 920 mm (36.2 in) katika bara ya ndani hadi 1,450 mm (57.1 in) kando ya pwani.

Hakuna milima au maeneo yenye maana katika Gambia. Ni nchi ambayo ardhi ni sawasawa na inanyoosha. Mwinuko wa juu zaidi ni mita 53 (futi 173)tu juu ya usawa wa bahari. Kuna mikoko muhimu karibu na mdomo wa mto, misitu michache midogo na mbali zaidi kidogo ndani ya bara ya nchi kuna savanna za nyasi.

Posted

Corrections

DanielB.Simon
Andaa elezo ya nchi nyingine ya kiafrika
Gambia ni nchi ndogo kuliko yote katika bara la Afrika na ni nyembamba sana. Mpaka yake wake unafafanuliwa na mto wa Gambia. Nchi iko chini ya kilomita 48 kwa upana wake mkubwa. Mipaka ya sasa ya nchi ilifafanuliwa mnamo mwaka 1889 baada ya makubaliano kati ya Uingereza na Ufaransa. Mara nyingi inadaiwa na Wagambiani Wagambia kuwa umbali wa mipaka kutoka mto wa Gambia unafanana na eneo ambalo kanuni ya silaha ya vitani ya Ungereza ya wakati huo iliweza kufikia kutoka kwa mto huo. Walakini, hakuna ushahidi wa kihistoria wa kuunga mkono hadithi hiyo. Isipokuwa ukanda wake wa pwani, ambapo Gambia inapakana na Bahari ya Atlantiki, ni inazingira unazingira kabisa kwa nchi la ya Senegal.

Gambia ina hali ya hewa ya joto na misimu tofauti wa kiangazi na
wa mvua. Kuanzia Novemba hadi katikati ya Mei kuna hali ya hewa kavu isiyoingiliwa. Wakati wa siku hali ya hewa ni starehe na jotojoto huku usiku ni baridibaridi kidogo. Kuanzia Juni hadi Oktoba ni msimu wa mvua. Katika kipindi hiki, kipimo cha joto kinaweza kupanda hadi 43 ° C lakini kawaida huwa chini karibu na bahari. Wastani wa mvua ya kila mwaka ni kati ya 920 mm (36.2 in) katika bara ya ndani hadi 1,450 mm (57.1 in) kando ya pwani.

Hakuna milima au maeneo yenye maana katika Gambia. Ni nchi ambayo ardhi ni sawasawa na
inanyoosha iliyonyooka . Mwinuko wa juu zaidi ni mita 53 (futi 173)tu juu ya usawa wa bahari. Kuna mikoko muhimu karibu na mdomo wa mto, misitu michache midogo na mbali zaidi kidogo ndani ya bara ya nchi kuna savanna za nyasi.
Posted

Comment(s)

Asante sana Daniel kwa kusoma na kusahihisha insha yangu. Nimeshukuru sana.
Posted 
Asante Diana
Posted 
TEACHER
Benjamin.Peter
Andaa elezo ya nchi nyingine ya kiafrika
Gambia ni nchi ndogo kuliko yote zote katika bara la Afrika na ni nyembamba sana. Mpaka Mipaka yake unafafanuliwa inafafanuliwa na mto wa Gambia. Nchi iko chini ya kilomita 48 kwa upana wake mkubwa urefu . Mipaka ya sasa ya nchi ilifafanuliwa mnamo mwaka 1889 baada ya makubaliano kati ya Uingereza na Ufaransa. Mara nyingi inadaiwa na Wagambiani Wagambia kuwa umbali wa mipaka kutoka mto wa Gambia unafanana na eneo ambalo kanuni ya silaha ya vitani ya Ungereza ya wakati huo iliweza kufikia kutoka kwa mto huo. Walakini Lakini , hakuna ushahidi wa kihistoria wa kuunga unaounga mkono hadithi hiyo. Isipokuwa ukanda wake wa pwani, ambapo Gambia inapakana na Bahari ya Atlantiki, ni inazingira na inazingirwa kabisa kwa na nchi la ya Senegal.

Gambia ina hali ya hewa ya joto na misimu tofauti
wa ya kiangazi na wa ya mvua. Kuanzia Novemba hadi katikati ya Mei kuna hali ya hewa kavu isiyoingiliwa. Wakati wa siku mchana hali ya hewa ni ya starehe na jotojoto huku usiku ni baridibaridi baridi kidogo. Kuanzia Juni hadi Oktoba ni msimu wa mvua. Katika kipindi hiki, kipimo cha joto kinaweza kupanda hadi 43 ° C lakini kawaida huwa chini karibu na bahari. Wastani wa mvua ya kila mwaka ni kati ya 920 mm (36.2 in) katika bara ya ndani hadi 1,450 mm (57.1 in) kando ya pwani.

Hakuna milima au maeneo yenye
maana miinuko katika Gambia. Ni nchi ambayo ardhi ni sawasawa na inanyoosha imenyoosha . Mwinuko wa juu zaidi ni mita 53 (futi 173)tu juu ya usawa wa bahari. Kuna mikoko muhimu karibu na mdomo wa mto, misitu michache midogo na mbali zaidi kidogo ndani ya bara ya nchi kuna savanna za nyasi.
Posted
Brown.Mwikwabe
Andaa elezo ya nchi nyingine ya kiafrika
Gambia ni nchi ndogo kuliko yote yeyote katika bara la Afrika na ni nyembamba sana. Mpaka yake wake unafafanuliwa na mto wa Gambia. Nchi iko chini ya kilomita 48 kwa upana wake mkubwa . Mipaka ya sasa ya nchi ilifafanuliwa mnamo mwaka 1889 baada ya makubaliano kati ya Uingereza na Ufaransa. Mara nyingi inadaiwa na Wagambiani kuwa umbali wa mipaka kutoka mto wa Gambia unafanana na eneo ambalo kanuni ya silaha ya vitani ya Ungereza ya wakati huo iliweza kufikia kuwafikia kutoka kwa mto huo. Walakini, hakuna ushahidi wa kihistoria wa kuunga mkono hadithi hiyo. Isipokuwa ukanda wake wa pwani, ambapo Gambia inapakana na Bahari ya Atlantiki, ni inazingira imezingirwa kabisa kwa na nchi la Senegal.
Gambia ina hali ya hewa ya joto na misimu tofauti
wa ya kiangazi na wa ya mvua. Kuanzia Novemba hadi katikati ya Mei kuna hali ya hewa kavu isiyoingiliwa. Wakati wa siku hali ya hewa ni ya starehe na jotojoto huku usiku ni baridibaridi kidogo. Kuanzia Juni hadi Oktoba ni msimu wa mvua. Katika kipindi hiki, kipimo cha joto kinaweza kupanda hadi 43 ° C lakini kawaida huwa chini karibu na bahari. Wastani wa mvua ya wa kila mwaka ni kati ya 920 mm (36.2 in) katika bara ya ndani hadi 1,450 mm (57.1 in) kando ya pwani.

Hakuna milima au maeneo yenye maana katika Gambia. Ni nchi ambayo ardhi ni sawasawa na inanyoosha. Mwinuko wa juu zaidi ni mita 53 (futi 173)tu juu ya usawa wa bahari. Kuna mikoko muhimu karibu na mdomo wa mto, misitu michache midogo na mbali zaidi kidogo ndani ya bara ya nchi kuna savanna za nyasi.
Posted
Feedback