Write & Correct
Swahili

Habari za leo

Leo niliamka saa moja alfajiri.

Nilijiosha bafuni, nikapiga mswaki, nikavalia nguo kisha nikateremka ngazi. Nikapika chai. Nilifungua mlango bustani, nikakusanya vyomba vya bustani vyangu na nikaenda katika bustani. Nikapata bakuli yangu ya kulima bustani.

Nilikusanya bakuli yangu kwa bustani, makasi yangu ya bustani na chombo ili nipalilie magugu na nilianza kulima eneo ambalo karibu na bwawa dogo la bustani. Nilikatakata mimea ambao inakufa na niliiwekea ndani bakuli yangu ya kulima bustani. Halafu nikachukua bakuli na nikaibeba nikaielekea mahali pa takataka la bustani.

Wakati nilimaliza kufanya kazi bustani, nilienda Sainsburys kununua mahitaji yangu. Nilinunua vitu vingi, kisha nikaendesha gari langu nyumbani kwangu na nikawekelea vitu kutoka Sainsburys kabatini jikoni.

Halafu nikampikia mume wangu chakula na mwenyewe. Baada ya chakula cha mchana nilimzumgumza na dada yangu simuni.

Kwa mwishowe, nilifanya mazoezi ya kiswahili katika memrise na duolingo kisha nikaandika habari za leo yangu kwa kiswahili.

Posted

Corrections

DanielB.Simon
Habari za leo
Leo niliamka saa moja alfajiri. Nilijiosha Nilioga bafuni, nikapiga mswaki, nikavalia nikavaa nguo kisha nikateremka ngazi. Nikapika chai. Nilifungua mlango wa bustani, nikakusanya vyomba vya bustani vyangu na nikaenda katika bustani. Nikapata bakuli yangu ya kulima kutumia katika bustani. Nilikusanya Nikachukua bakuli yangu kwa bustani , makasi yangu ya mkasi wangu wa bustani na chombo ili nipalilie magugu na nilianza kulima eneo ambalo lipo karibu na bwawa dogo la bustani. Nilikatakata mimea ambao ambayo inakufa na niliiwekea niliiweka ndani bakuli yangu ya kulima bustani bakuli . Halafu nikachukua bakuli na nikaibeba nikaielekea mahali pa takataka la katika bustani. Wakati nilimaliza nilipomaliza kufanya kazi bustani bustanini , nilienda Sainsburys kununua mahitaji yangu. Nilinunua vitu vingi, kisha nikaendesha gari langu nyumbani kwangu na nikawekelea nikaweka vitu kutoka Sainsburys kabatini jikoni. Halafu nikampikia nikapika chakula changu na cha mume wangu chakula na mwenyewe pia . Baada ya chakula cha mchana nilimzumgumza nilizungumza na dada yangu simuni katika simu . Kwa mwishowe Mwishowe , nilifanya mazoezi ya kiswahili katika memrise na duolingo kisha nikaandika habari za leo siku yangu ya leo kwa kiswahili.
Edited

Comment(s)

Asante Sana Daniel. Nimeshukuru sana.
Posted 
Hongera, unaandika Kiswahili vizuri. Endelea kujifunza kila siku utakuwa mwandishi mzuri wa lugha ya Kiswahili.
Edited 
Feedback